Muturi kutoa uamuzi kuhusu hatma ya mkaguzi mkuu Edward Ouko

Muturi kutoa uamuzi kuhusu hatma ya mkaguzi mkuu Edward Ouko
Photo: Milele Fm

Spika wa bunge la kitaifa Justine Muturi leo anatarajiwa  kutoa uamuzi kuhusu hatma ya pendekezo la kumtimua mkaguzi mkuu Edward Ouko. Hii ni baada ya mahakama kutoa agizo la kuzuia vikao vya kamati ya bunge ya fedha kuchunguza pendekezo hilo lililowasilishwa na mlalamishi emmanue mwagona. Tayari Ouko ameshikilia kuwa hatahudhuria vikao hivyo kufuatia aguzo la mahakama. Hata hivyo Muturi wiki iliyopi alidokeza kuwa bunge litamchukulia hatua ouko iwapo atakosa kufika mbele ya kamati hiyo.

Also read:   Eiminie serkali e kaunti e Kajiado imilioni 13 terubata enchatare,elata nemeibala

Post source : Milele Fm

Related stories