NTSA: Madereva ambao wameharibu vidhibiti mwendo hawataruhusiwa kuhudumu

NTSA: Madereva ambao wameharibu vidhibiti mwendo hawataruhusiwa kuhudumu
Photo: Milele Fm

Mamlaka ya usalama barabarani NTSA sasa inawaonya madereva ambao wameharibu vidhibiti mwendo hawataruhusiwa kuhudumu.Niabu mkurugenzi wa uchunguzi kuhusu ajali na utekelezaji wa sera za usalama barabarani katika mamlaka hiyo Hared Adan anasema asilimia kubwa ya ajali hutokana na uendeshaji mbaya wa magari ya umma pamoja na kuondolewa kwa vithibiti mwendo kwenye baadhi ya magari.Hared pia anawataka wamiliki magari ya uchukuzi wa umma kuweka leseni ya kuashiria gari hizo zimekuwa zikichunguzwa mara kwa mara.

Also read:   Kisumu: Chifu kufunguliwa mashtaka baada ya kumbaka mtoto wa miaka 13

Post source : Milele Fm

Related stories