Serikali ya Kaunti ya Tharaka Nithi imetangaza kuwafuta kazi manesi wanaogoma

Serikali ya Kaunti ya Tharaka Nithi imetangaza kuwafuta kazi manesi wanaogoma
Photo: Milele Fm

Serikali ya kaunti ya Tharaka Nithi imetangaza kuwafuta kazi manesi ambao wamekuwa mgomoni. Akiongea na Milele fm, gavana Samuel Ragwa anasema wanaanza rasmi kuwaandika manesi barua za kufutwa kazi leo ili kujaza pengo lililoachwa na wale wanaogoma. Ameongeza manesi hao wamekuwa wakigoma kwa muda sasa bila sababu.

Also read:   Rais anatarajiwa kuzuru kaunti ya Tharaka Nithi juma hili

Post source : Milele Fm

Related stories