Gavana Tunai: Narok tuko ndani ya Jubilee

Gavana Tunai: Narok tuko ndani ya Jubilee
Photo: Milele Digital

Narok tuko ndani ya Jubilee. Akizindua rasmi kampeini ya kuchaguliwa tena katika uchaguzi wa Agosti, gavana Samuel ole Tunai anasema ni kupitia Jubilee pekee ambapo wenyeji wa kaunti yake watafaidi. Amejivunia miradi kadhaa ya kimaendeleo anayosema ataendeleza iwapo atapewa nafasi nyingine. Akizungumza katika mkutano huo gavana wa uasingishu Jackson Mandago naye amekosoa upinzani kwa kukoa ajenda ya kuleta maendeleo.

Also read:   Rais kufungua rasmi mkutano huko Isiolo

Post source : Mediamax Digital

Related stories