HabariMilele FmSwahili

Kibaki miongoni mwa waliokwama Kisumu

Safari za ndege kuelekea maeneo tofauti nchini zimecheleweshwa mapema leo katika uwanja wa ndege wa Jomo Kenyatta. Wengi wa wasafiri waliokwama kwenye uwanja huo wameelezea ghadhabu zao. Rais mstaafu Mwai Kibaki ni miongoni mwa walioathirika akiwa Kisumu. Ndege sita zinadaiwa kuathirika baada ya marubani kusemekana kususia kazi.

Also read:   Rais Mstaafu Kibaki ashauri Serikali kuisikiza upinzani

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker