Mchujo wa Jubilee wafutiliwa mbali katika kaunti 11

Chama cha Jubilee kimeahirisha uteuzi wake wa mchujo katika kaunti 11 nchini. Katibu mkuu Raphael Tuju anasema hatua hiyo imechukuliwa baada ya mashauriano ya kina na rais Uhuru Kenyatta na kutathimini hali ilivyokua katika kaunti hizo. Aidha amewalaumu baadhi ya maafisa wa chama hicho waliofaa kuendesh...
Read more
Jubilee yasitisha zoezi la mchujo katika kaunti 11

Chama cha Jubilee kimesitisha zoezi la mchujo katika kaunti 11 zilizokumbwa na dosari katika zoezo leo hii leo.Katiku mkuu wa Jubilee Raphel Tuju anasema wanashughulikia changamoto zilizosababisha kutatizika zoezi hilo. 11 hizo ni pamoja na Narok, Kericho, Bomet, Nakuru, Baringo, Kajiado,Embu, Uasin Gis...
Read more
KDF yawaangamiza Al Shabaab 52, Somalia

Wanajeshi wa Kenya KDF wamewauwa wanamgambo 52 wa Al Shababb na kuwaacha wengine kadhaa na majeraha eneo la Badhaadhe huko Sarira Kaskazini nchini Somalia leo. Msemaji wa KDF Joseph Owuoth amesema wanajeshi hao wakiwa katika oparesheni eneo hilo,walinasa bunduki 7 aina ya ak 47,simu 2,risasi 104 na vili...
Read more
Otuoma agura ODM

Mgombea ugavana kaunti ya Busia Paul Otuoma ametangaza kujiondoa kutoka chama cha ODM. Otuoma tayari amemuandikia msajili wa vyama kuhusiana na uamuzi huo. Otuoma amechukau hatua hii baada ya bodi ya uchaguzi ya ODM kuagiza kurejelewa mchujo wa kaunti ya Busia katiia maeneo bugne mawili pekee. Otuoma al...
Read more
Seneta Kuti ajiunga na NARC Kenya

Seneta wa Isioli Mohammed Kuti amejiunga na chama cha NARC Kenya siku moja baada ya kujiuzulu kama mwanachama wa Jubilee. Kuti anayewania ugavana Isiolo, amedokeza kukosa imani na bodi ya uchaguzi ya Jubilee kaunti ya Isiolo anayosema imedhihirisha kuwapendelea baadhi ya wawaniaji katika kinyanganyiro c...
Read more