Janet Jackson ajifungua mtoto mvulana

Mwanamuziki Janet Jackson amejifungua mtoto mvulana akiwa na umri wa miaka 50, afisa wake wa mawasiliano amethibitisha.Taarifa imesema mwanamuziki huyo na mumewe Wissam Al Mana, ambaye ni mfanyabiashara kutoka Qatar, wana furaha kumpata mtoto mvulana kwa jina Eissa Al Mana.
Read more
Papa Wemba avunja rekodi ya Rhumba akiwa kaburini

Mwanamuziki maarufu wa DRC, marehemu Papa Wemba aliyefariki Aprili 2016, anaendelea kukumbukwa kupitia nyimbo zake. Albamu yake ya mwisho ya ‘Forever’ iliyotolewa Oktoba, tayari imevunja rekodi ya muziki wa rhumba nchini Kongo. Wemba ametangazwa kuwa mwanamuziki bora wa mwaka 2016, akiwa na...
Read more
Diamond Amchamba Kiba Live.

Msanii nguli Afrika mashariki na afrika nzima Diamond Platinumz amchambua Ali Kiba kwenye interview. Msanii huyo anayetamba na ngoma ya Salome aliyomshirikisha Rayvanny alimkaranga msanii alikiba kimafuimbo kwa kudai hivi ni kimnukuu” Kuna wasanii wanasema ni wakali na wanasauti kama mziki ingekua...
Read more
Kim Kardashian aporwa vito ya mamilioni ya euro Paris

Nyota wa televisheni nchini Marekani Kim Kardashian ameporwa vito vya mamilioni ya pesa na watu wenye silaha waliomvamia katika hoteli moja mjini Paris.Polisi wanasema ameibiwa vito vya euro milioni kadha. Wizi huo ulitokea mwendo wa saa tisa usiku wa manane.Msemaji wake Ina Treciokas anasema nyota huyo...
Read more