HabariMilele FmSwahili

Bunge la taifa kurejelea vikao vyake leo baada ya likizo ya pasaka

Bunge la taifa linarejelea vikao vyake hii leo baada ya likizo ya pasaka. Vikao vya wiki hii vinalenga kujadili hotuba ya rais Uhuru Kenyatta alioisoma wiki mbili zilizopita kwa mabunge yote mawili. Miswada kadhaa inatarajiwa kujadiliwa na kupasishwa kabla ya wabunge hao kuelekea likizo ndefu baadaye mwezi ujao.

Show More

Related Articles