Betty Radier achukua rasmi hatamu katika bodi ya utalii, KTB

Zaidi ya watalii milioni moja nukta tano waliweza kuzuru nchi ya Kenya mwaka wa 2016, huku idadi hii ikitarajiwa kuongezeka kwa misimu ya likizo inayoanza mwezi wa Disemba. Kulingana na bodi ya utalii nchini, Kenya iliweza kupata watalii wengi zaidi kutoka bara Afrika kama vile , Nigeria na Afrika Kusin...
Read more
Waziri Bett aonya dhidi ya ukiukaji kilimo, awaomba vijana kuajibika

Taifa la Kenya limo katika hatari ya kukumbwa na baa la njaa iwapo barubaru hawataajibika katika kilimo. Kwa mujibu wa waziri wa kilimo Willy Bett, wengi wa wakulima nchini ni wazee wenye wastan wa miaka sitini ilihali tarajio la jumla la taifa hili la maisha, almarufu ‘Life Expectancy’ ni miaka sitini...
Read more
Mabadiliko ya usimamizi wa shirika la Kenya Airways yaendelea

Shirika la ndege la kitaifa la Kenya Airways limeenza shughuli ya kuwaajiri upya maafisa wakuu kazini katika mpango mzima wa kuikwamua biashara hiyo kutokana na dhoruba la hasara. KQ ilitoa matangazo kupitia magazeti na mtandaoni kwa wanaohitimu kutuma maombi ya kuajiriwa.  
Read more
Wakulima Wa Majani Wahofia Soko.

Baadhi ya viongozi kutoka maeneo yanayo kuza majani chai nchini Kenya wanabuni njia za kuwezesha wakulima kuuza bidhaa zao moja kwa moja katika soko la kimataifa badala ya kutumia madalali katika minada inayofanywa humu nchini. Hata hivyo jambo hili limezua hisia tofauti kwani baadhi ya washikadau katik...
Read more