K24 TvSwahiliVideos

Baraza la wataalamu labuni mbinu za kuwasaidia waathiriwa wa ghasia

Vuguvugu linalojiita baraza la wataalam linaloongozwa na aliyekuwa mbunge wa Budalang’i Ababu Namwamba limeanzisha jitihada za kusaka jinsi ya kuwasaadia waathiriwa waliokumbwa na madhara mbali mbali kwenye ghasia na msukosuko ulioshuhudiwa wakati wa kura ya agosti nane na kwenye marudio ya kura ya urais ya Oktoba 26.
Wakati huo huo kundi hilo limepinga msukumo wa baraza la makanisa nchini NCCK la kupendekeza kuwa katiba ifanyiwe marekebisho na nyadhifa za waziri mkuu na manaibu wake wawili kurejeshwa.

Show More

Related Articles