HabariMilele FmSwahili

Askofu Sapit apinga harambee kanisani zinazoendeshwa na wanasiasa

Kanisa la kianglikana limeitahadharisha serikali dhidi ya kuchukua mikopo ya juu kutoka mataifa ya nje na kutumika visivyo. Akiongea  kwenye mkao wa sekta tofauti ili kukabili ufisadi askofu wa kanisa la kianglikana Jackson Ole Sapit  anasema  mzigo wa kulipwa kwa mikopo hiyo unasalia mikononi mwa  vizazi vijavyo.

Askofu Sapit ameshikilia kanisa  hilo halitaunga mkono  hafla za kuchangisha fedha zinazoendeshwa kanisani na kuongozwa na wanasiasa.

Show More

Related Articles