HabariSwahili

Sh 460B kutumika kufadhili miradi ya ajenda 4 kuu za serikali kuu 

Waziri wa fedha Henry Rotich amewasilisha bajeti ya mwaka wa 2018/2019 ambayo itagharimu kiasi cha shilingi trilioni 3 ikiwa shilingi trilioni 1.8 zinafaa kupatikana kutokana na kutozwa kwa ushuru kwa wakenya.
Anders Ihachi alihudhuria kikao hicho bungeni na hii hapa taarifa yake.

Also read:   Wazazi walalamikia likizo ndefu ya Disemba inayoanza Ijumaa
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker