HabariSwahili

Hajji adokeza zaidi ya Sh 200M zilizoibwa zimefichwa Mauritius

Huenda zaidi ya shilingi milioni mia mbili za uuzaji wa ardhi tata ya Ruaraka zikapotelea pote, baada ya uchunguzi uliofanywa na afisi ya mkurugenzi wa mashtaka ya umma kubainisha kuwa ziliwekwa kwenye benki za ughaibuni.
Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji amesema afisi yake inachunguza jinsi pesa hizo zilifika katika benki nchini Mauritius, na ni vipi zitaweza kurejeshwa hapa nchini.

Also read:   Two men arrested over attempted Kshs. 1m fraud in Nandi County

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker