HabariSwahili

Matiang’i akiri amepokea vitisho kutoka kwa washukiwa wakuu wa ulanguzi wa sukari

Waziri wa usalama wa ndani Fred Matiangi ameonya dhidi ya walanguzi wa sukari ghushi akidokeza kuwa kamwe hatatishwa na walanguzi hao, huku K24 saa moja ikibaini miongoni mwa walanguzi hao wakuu ni wabunge na jamaa zao.
Matiang’i amedokeza hayo leo baada ya kunaswa kwa shehena nyingine ya magunia 1,365 ya sukari ghushi ambayo inaripotiwa kuwa kemikali ya zubaki yaani mercury na shaba nyekundu au copper, madini ambayo ni hatari kwa afya ya binadamu.

Also read:   New education system, 2-6-6-3 to kick off as schools open

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker