HabariSwahili

Chebukati ataka sheria ibadilishwe makamishna wapya wateuliwe

Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na kuratibu mipaka, IEBC Wafula Chebukati ameelezea kuwa itakuwa vigumu kwa tume hiyo kufanikisha zoezi la uratibu wa mipaka kama hitaji la kisheria iwapo makamishna wapya hawatateuliwa kujaza nafasi za wale waliojiuzulu.
Kwa sasa kisheria, IEBC haiwezi afikia maamuzi muhimu yanayofaa kufanyika kupitia mikutano yake ambayo inahitaji makamishna wasiopungua watano kwa wastani ili kupasisha hoja kwenye mkutano.

Also read:   NCIC leo inazindua mikakati ya kukabiliana na uenezaji wa semi za chuki

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker