HabariMilele FmSwahili

Kesi ya rufaa iliyowasilishwa na Alfred Keter kuskizwa leo katika mahakama ya Eldoret

Kesi ya rufaa iliyowasilishwa na mbunge wa Nandi Hills Alfred Keter inasikizwa hii leo katika mahakama  ya Eldoret. Wakili wa Keter Otiende Amollo atatetea kubatilishwa uamuzi wa mahakama kuu ya Eldoret uliotolewa na jaji Kanyi Kimondo akifutilia mbali ushindi wa Keter katika  uchaguzi wa Agosti nane. Kesi hiyo ya rufaa ilihamishiwa mjini Eldoret kutoka kaunti ya Kisumu baada ya mlalamishi kwenye kesi hiyo Bernard Kitur kudai hana uwezo wa kifedha kusafiri kila mara mjini Kisumu.

Also read:   Okiya Omtatah afika mahakamani kushinikiza makamishna 3 wa IEBC kujiuzulu rasmi
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker