HabariMilele FmSwahili

Miguna apuuzilia mbali hatua ya Gavana Sonko kumpendekeza kama naibu wake

Wakili Miguna Miguna amepuzilia mbali hatua ya gavana Mike Sonko wa Nairobi kumpendekeza kama naibu gavana wake. Miguna ametaja uteuzi huo kama ulio na nia fiche, ingawa hajasema iwapo atakubali au la. Msimamo wake unakujia viongozi wa chama cha Jubilee hapa Nairobi pia wakimksoa gavana Sonko. Kiongozi wa wengi adai Duale awali amesema Sonko hakushauriana na chama kuhusu uteuzi huo. Kauli ambayo imekaririwa na spika wa bunge la kaunti Beatrice Elachi.

Also read:   Gavana Sonko :Nitaendelea kuhudumia wenyeji wa Nairobi nikiwa nyumbani kwangu Machakos
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker