HabariMilele FmSwahili

Misa ya kuwakumbuka wahanga wa mkasa wa bwawa la Patel kuandaliwa leo Solai

Misa maalum kuwakumbuka wahanga wa mkasa wa bwawa la Patel kuvunja kingo zake itaandaliwa leo katika eneo la Solai kauti ya Nakuru. Rais Uhuru Kenyatta na naibu rais William Ruto wanatarajiwa kujumuika na ndugu jamaa na marafiki pamoja na viongozi wengine wa kitaifa katika hafla hiyo. Jumla ya watu 47 wamedhibitishwa kufariki kutokana na mkasa huo kutokana na mkasa huo. Kulingana na gavana wa Nakuru Lee Kinyanjui ibada ya leo itakuwa ya madhehebu mbali mbali.

Also read:   Ripoti kuhusu mkasa wa bwawa la Patel, Nakuru kutolewa wiki mbili zijazo
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker