Wetangula :NASA iko tayari kujadiliana na Serikali

Kiongozi wa chama cha Ford Kenya Moses Wetangula anasema NASA iko tayari kujadiliana na serikali kuleta umoja na amani kwa taifa. Akiongea wakati wa ibada ya wafu kwa mwendazake msomi profesa Tumbo Oeri, Wetangula anasema licha ya tofauti zao za kisiasa,ipo haja ya viongozi kuketi kwa meza moja na kuzungumza jinsi ya kuimarisha maisha ya wakenya. Usemi wake umeungwa mkono na seneta wa Kisii Sam Ongeri anayesema taifa haliwezi kuendelea bila amani.

Also read:   Raila urges government to compensate  pastoralists whose livestock were killed

Related Articles