Elimu ya chekechea yaathirika Ganze kufuatia ukame

Maeneo mengi humu nchi yaliathirika pakubwa  na  ukame. Moja  kati  ya  maeneo  hayo  ni  eneo  la  Ganze kaunti  ya  Kilifi. Kuna  kikundi  maalum  kilichoathiriwa   pakubwa  na  janga la  njaa  eneo  la  Ganze nacho  ni  watoto  wa  Chekechea. Kuanzia Januari mwaka huu hadi mwezi wa  Aprili  idadi  ya...
Read more
Arsenal Yamwadhibu Gates Mgenge.

Masaa machache tu kabla ya fainali ya kombe la FA kule nchini Uingereza kuanza kati ya Arsenal dhidi ya Chelsea kuanza mtangazaji tajika kutoka Pilipili fm anayeendesha kipindi cha Mwake Mwake Live Gates Mgenge aliapa kutembea kwa mguu na bila kuvaa shati kutoka kwake nyumbani hadi kazini iwapo Arsenal...
Read more
Rais Uhuru Aidhinishwa Na IEBC.

Tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC imemuidhinisha rasmi rais Uhuru Kenyatta kuwania tena urais kwa muhula wa pili. Akiongea katika jumba la KICC Mwenyekiti wa IEBC Wafula Chebukati ameidhinisha kupokea stakabadhi za rais Kenyatta. Amemtaka rais Kenyatta na serikali ya jubilee kuendeleza kampeni...
Read more
Kilio Cha Viongozi Wa Dini Taita Taveta.

Viongozi wa dini kaunti ya Taita Taveta wameikashifu serikali ya kaunti hiyo kwa kupitisha sheria ya kutoza dini ushuru, hasa makanisa pale yanapoalika wahubiri na wasanii kutoka mataifa mengine kuja kuhubiri katika kaunti hiyo. kufuatia hatua hiyo viongozi wa kidini sasa wamewasilisha kililio chao kwa...
Read more
Jaji Mkuu Azuru Mombasa.

Jaji mkuu nchini david maraga ameapa kuwa idara ya mahakama nchini itapunguza milimbiko ya kesi kwenye mahakama za humu nchini Akiongea alipokutana na wafungwa katika gereza la shimo la tewa maraga amesema hali hio imekua sugu kwa mahakama lakini akahakikisha kuwa itasuluhishwa hivi karibuni. Wakati huo...
Read more