BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Wasanii wa pwani ni wavivu Kupindukia, Kidis Asema.

Msanii wa kizazi kipya hapa nchini Kidis the Jembe ameapa kutoshirikiana na wasanii kutoka eneo la pwani kwa kile amekitaja kua ni wavivu kupindukia.

Akizungumza na kikosi cha zinduka Kidis amesema kua  wasanii wa Mombasa na eneo la pwani kwa ujumla hawajakomaa kimziki akimtaja susumila kama msanii mmoja mvivu zaidi.

“Wakomae kwanza kazi yao ni kulala tu huko msanii kama P.DAY unamskia tu siku ya kwanza ya pili ha yuko lipso hivo hivo.”

Akijibu  madai hayo #SoFine hit maker susumila amesema maneneo ya kidis hayana msingi wowote na hayawezi mbababaisha hata kamwe.

“Mimi maneno ya mtu hayawezi shukisha brand yangu, mafans wangu watazidi kunisupport kwani na fanya kazi nzuri na wana amini ninacho kifanya. Na sidhani wanaeza acha kuni support juu ya maneno ya mtu.

 

Show More

Related Articles