HabariPilipili FmPilipili FM News

Wahudumu Wa Matatu Mombasa Wapinga Hatua Yakuondoa Magari Ya Abiria 14.

Kuondoa magari ya abiria 14 barabarani ni hatua ya kuvuruga shughuli za kibiashara kwa wahudumu wake, ndiyo kauli ya wahudumu wa matatu kaunti ya Mombasa.

Wahudumu hao wanasema hatua hii itachangia vijana wengi kupoteza ajira.Wamepinga vikali madai kuwa matatu huchangia msongamano katika maeneo ya katikati mwa mji wakilaumu sheria duni za mji kwa msongamano.

Show More

Related Articles