HabariPilipili FmPilipili FM News

Serikali Kujenga Mabwawa 31.

Jumla ya mabwawa 31 yanapaniwa kujengwa katika sehemu mbalimbali nchini, ikiwa sehemu ya mipango ya serikali ya kukusanya maji ya mvua na kuyafidha katika mabwawa hayo.

Hayo ni kwa mujibu wa waziri wa kilimo Mwangi Kiunjuri , ambaye anasema maji ya mabwawa hayo yatatumiwa kukabili athari za ukame kupitia kilimo nyunyizi, na pia kupunguza mahangaiko ya wananchi kupata maji.

Kiunjuri anasema miradi zaidi ya mabwawa itatekelezwa nchini miaka 3 ijayo.

Show More

Related Articles