HabariPilipili FmPilipili FM NewsSwahili

Seneta Wa Migori Ben Oluoch Afariki Dunia.

Seneta wa Migori Ben Oluoch amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Kulingana na jamaa za familia seneta Oluoch alifariki katika hospitali ya MP-Shah wakati akiendelea kupokea matibabu.

Seneta huyo ambaye pia alikuwa mtangazaji wa Radio idhaa ya Ramogi, inaarifiwa  amekuwa akiugua saratani ya koo kwa mda.Millie Odhiambo na David Osiani ni miongoni mwa viongozi waliofika hospitalini kuthibitisha kifo cha seneta Oluoch.

Show More

Related Articles