HabariPilipili FmPilipili FM News

Rais Uhuru Atarajiwa Kupokea Rasmi Mswada Kuhusu Ongezeko La Ushuru Wa Bidhaa Za Petroli.

Rais Uhuru Kenyatta hii leo anatarajiwa kupokea rasmi mswada wa ongezeko la ushuru wa asilimia 16 kwa bidhaa za petroli nchini.

Pia rais Kenyatta anatarajiwa kukutana na timu ambayo inashughulikia kutatua mgogoro uliopo kufuatia ongezeko la ushuru kwa mafuta nchini.

Timu hiyo inajumuisha wakuu kutoka serikalini na akiwemo waziri wa fedha Henry Rotich pamoja na wabunge kadhaa.

 

Show More

Related Articles