HabariPilipili FmPilipili FM News

Serikali imejaza titi Kuimarisha Usalama Mombasa, Achoki Asema.

Kamishna wa kaunti ya Mombasa Evans Achoki amesema licha ya changamoto za kiusalama zinazoshuhudiwa kaunti ya Mombasa kwa sasa kama idara wanapanga kila mikakati kuhakikisha usalama unarudi katika maeneo mbali mbali ya mji huu.

Akizungumza alipokutana na viongzi wa kampuni zote za kibinafsi zinazotoa huduma za ulinzi na usalama,Achoki amesema kwa ushirikiano na kampuni hizo binafsi watahakikisha usalama unadumishwa haswa msimu huu wa sherehe za kufunga mwaka.

Show More

Related Articles