HabariPilipili FmPilipili FM News

Chuo Cha Kiufundi Cha Tum Kunufaika Na Shilingi Milioni 12.

Chuo cha kiufundi cha TUM kitafaidi shilingi milioni 12   kutoka  kwa shirika la umoja wa ufalme ili kufanya utafiti juu ya utumizi wa chupa za plastiki  ili kuboresha usafi wa mazingira.

Akizungumza katika shughuli za kufanya usafi katika kaunti ya Mombasa naibu chancellor wa chuo cha TUM Leila Abubakar  amesema TUM itashirikiana na kaunti ya mombasa kufanya utafiti na kutafuta njia ya kubadili plastiki katika aina nyingine ambayo itanufaisha wananchi na pia kuimarisha usafi wa mazingira.

Show More

Related Articles