BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Bahati: Rebecca Hajaenda Mahali.

Rais wa EMB Kelvin Bahati akanusha madai  kwamba mwanamziki wakike   kutoka nchi ya Congo Rebecca ameondoka  katika lebel hiyo.

Bahati aliyekua akijibu swali hilo amemtaja Soki kua mvivu na asiye jituma  jinsi inavyo takikana.

EMB NI BIDII YAKO UNAJUA ZIWEZI KUPA PLATFORM NIFACILITATE KILA KITU ALAFU NIKISHIKIE KIBOKO UINGIE KWA STUDIO UREKODI HAIWEZEKANI LAZIMA UJITUME.

 

Madai ya Rebeka kuondoka katika EMB yaliibuka baada ya label  hiyo kumsaini  msanii mwingine wa kike kwa jina princess leo, hatua mabayo iliwafanya webgi wadhanie  alisainiwa  ili  kijaza nafasi ya  Rebecca.

Rebecca alijiunga na EMB mapema mwaka huu na kurekodi kazi kadhaa na lebel hiyo, kisha kuenda kimya, ukimya ambao umezua wasiwasi miongoni mwa mashabiki wake.

 

 

Show More

Related Articles