HabariPilipili FmPilipili FM News

Wafanyikazi Wa Nakumatta Nyali Waachishwa Kazi

Wafanyakazi wa duka la jumla la Nakumatt Nyali hapa Mombasa wanalalamikia kuachishwa kazi kinyume cha sheria bila kupewa ilani.

Wafanyikazi hao wanasema wanataka walipwe mishahara yao ya takriban miezi minane ili waweze kukidhi majukumu yao ya  kifamilia.

Aidha wameitaka serikali pamoja na katibu wa muungano wa wafanyikazi nchini COTU Francis Atwoli kuingilia kati suala hilo ili wapate haki yao.

Also read:   COTU yawalaumu wasagaji mahindi nchini kwa njama yakutaka kuagiza mahindi kutoka nje

 

Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker