Walaguzi Wa Mihadharati Waongezeka Changamwe

Walaguzi Wa Mihadharati Waongezeka Changamwe
pilipilifm

Wakaazi wa changamwe wameonyesha hofu yao kufuatia ongezeko la vijana wanaotumia dawa za kulevya mitaani.

Wakiongozwa na Elizabeth Kambe, wakazi hao wameitaka serikali kufanya hima kupeleka vijana hao katika idara za kuwanasua na matumizi ya dawa za kulevya ili wasaidike maisha yao ya usoni.

Kadhalika wameishukuru serikali kwa kuimarisha usalama kutokana na taa zilizowekwa mtaani kumulikia wakaazi masaa ya Usiku.

Also read:   Polisi wanasa misokoto 7600 ya bhangi Changamwe

Post source : Pilipilifm

Related posts

MNL App
MNL App