Pilipili FmPilipili FM NewsSwahili

Eneo La Kisauni Latajwa Kuongoza Kwa Visa Vya Uhalifu Mombasa

Hayo ni kwa mujibu wa kamanda wa polisi kaunti ya Mombasa Johnstone Ipara, wakati akitoa ripoti ya idara hiyo kuhusu hali ya usalama mjini Mombasa.

Ipara anasema kufikia sasa zaidi ya watu 20 wengi wao wakiwa vijana kutoka makundi kadha ya uhalifu  wametiwa mbaroni siku za hivi karibuni kufikia leo asubuhi na kufikishwa mahakamani.

Also read:   Wafanyi Biashara Kongowea Wazidi Kutumia Mifuko Ya Plastiki
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker