Wazo La Kuunda Chama Cha Kisiasa Cha Pwani La Ungwa Mkono

Wazo La Kuunda Chama Cha Kisiasa Cha Pwani La Ungwa Mkono
Pilipili Photography

Mbunge wa Kilifi kaskazini Owen Baya ameunga mkono kauli ya gavana wa Kilifi Amason Kingi ya kutaka eneo la pwani kuunda chama chake ifikapo mwaka 2022 akisema kubuniwa kwa chama hicho ni njia moja wapo ya kuwasaidia wapwani kueleza masaibu yao.

Huku hayo yakijiri aliyekuwa mbunge wa Kilifi Kaskazini Gideon Mung’aro amewakosoa viongozi hao kwa kukosa mwelekeo na kuwapotosha wananchi, huku akiongeza kuwa mchakato huo unalenga kuwanufaisha viongozi hao pekee.

Also read:   Bernard Leparmarai ndiye mshirikishi wa usalama kanda ya Pwani

Post source : pilipilifm

Related posts

MNL App
MNL App