Hospitali Kuu Ya Kenyatta Ya Ingia Katika Vitabu Vya KumbuKumbu

Hospitali Kuu Ya Kenyatta Ya Ingia Katika Vitabu Vya KumbuKumbu
Kenyatta Hospital

Hospitali kuu ya Kenyatta imeandikisha historia kwa mara nyingine kanda ya Afrika Mashariki na mataifa yanayopakana na jangwa la sahara, baada ya kufanikiwa kufanya oparesheni ya kurejesha sehemu ya mkono ya kijana mmoja kutoka kaunti ya Kiambu.

Joseph Theuri mwenye umri wa miaka 17 kutoka eneo la Kiambaa katika kaunti hiyo alikatwa kiganja cha mkono wake na mashine ya kukata nyasi.

Also read:   Vurugu katika shule ya upili ya Jamuhuri zamwacha mwanafunzi mmoja hali mahututi

Upasuaji wa kurudisha mkono wake uliochukua saa 7 kukamilika, ulihusisha wahudumu wa afya 15 kutoka hospitali hiyo na chuo kikuu cha Nairobi.

 

Post source : Pilipilifm

Related posts

MNL App
MNL App