Wasanii Wa Kenya Ambao wamejaliwa Mapacha

Wasanii Wa Kenya Ambao wamejaliwa Mapacha

Kama Mzazi kujaliwa mapacha ni mojawapo ya kitu cha kujivuniwa katika ulimwengu huu.

Hawa ni baadhi ya watu maarufu hapa nchini waliobarikiwa na Mapacha

  1. DJ KAYTRIXX

Kaytrixx ni moja wapo  wa Ma Djs Maarufu hapa nchini na ambaye ameweza kubarikiwa na mapacha  wa kiume.

 

 

2.  GRACE MSALAME

Msalame pia hajaachwa nyuma kwani pia yeye amebarikiwa na wasichana wawili warembo

Also read:   Wasanii Wa Gospel Washindana Kuonyesha Wapenzi Wao.

 

3. WARIDI

Waridi ni mojawapo waigizaji maarufu hapa nchini mbaye alipata umaarufu zidi katika kipindi cha Waridi kilicho kuwa kikipeperushwa na T.V moja maarufu hapa nchini

 

Post source : pilipilifm

Related posts

MNL App
MNL App