HabariPilipili FmPilipili FM News

Serikali Ya Kaunti Ya Kwale Yaombwa Kuboresha Mazingira Katika Kaunti Hiyo

Changamoto imetolewa  kwa  Serikali ya kaunti ya kwale kupitia wizara ya afya   kuboresha  mazingira  ya hospitali kuu   mjini  humo, hiyo ikiwa  njia mojawapo ya kukabiliana na maradhi yanayotokana na mazingira chafu.

Wakaazi mjini humo, wanalalamikia kuwepo kwa barabara yenye mashimo inayoingia hospitalini humo, kuzagaa kwa maji chafu  langoni mwa hospitali hiyo , vyoo vichafu pamoja na nyasi ndefu zilizoko katika baadhi ya sehemu za uwanja wa hospitali.

Also read:   Chuo Cha Walimu Kwale Chafungwa.

 

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker