Mlinzi Wa Naibu Rais Afariki Katika Ajali Ya Barabarani Nairobi

Mlinzi Wa Naibu Rais Afariki Katika Ajali Ya Barabarani Nairobi
File

Mlinzi mmoja wa naibu wa rais William Ruto ameripotiwa kufariki kwenye ajali ya barabarani jijini Nairobi.

Kulingana na taarifa kwenye vyombo vya habari, inaarifiwa mlinzi huyo ambaye ni miongoni mwa walinzi maalum wanaotumia pikipiki alifariki kwenye ajali katika barabara ya Wangari Mathai jijini Nairobi, baada ya kupoteza mwelekeo wa pikipiki yake.

Also read:   Naibu rais aomboleza kifo cha Gavana wa Nyeri Wahome Gakuru

Hata hivyo kufikia sasa bado hakuna taarifa rasmi kutoka kwa idara ya polisi, kuhusu tukio hilo

Post source : PILIPILIFM

Related posts

MNL App
MNL App