Pilipili Fm
-
Feb- 2019 -15 February
Habari
Atwoli Amtaka Waziri Wa Leba Ajiuzulu.
Katibu mkuu wa muungano wa wafanyikazi nchini COTU Francis Atwoli sasa anamtaka waziri wa leba Ukur Yattani kujiuzulu. Atwoli anasema…
Read More » -
15 February
Habari
Onyo La Baraza La Magavana Kwa Wauguzi.
Baraza la magavana limewaonya vikali wauguzi watakaokaidi amri ya rais kuwataka kurejea kazini kufikia saa mbili asubuhi hii leo. Mwenyekiti…
Read More » -
15 February
Habari
Mwatha Alifariki Kutokana Nakuvuja Damu Nyingi Asema Mwanapatholojia.
Imebainika kuwa mwanaharakati Caroline Mwatha alifariki kutokana na kuvuja damu wakati akiavya mimba. Hayo yamethibitishwa na mwanapatholojia wa serikali Joharnes…
Read More » -
14 February
Burudani
“Mwanamke Hajanifanya Nitoke Kubwa Entertainment”, Kelechi Africana.
Mwaka wa 2018 umekua mwaka wa mafanikio makubwa kwa msanii Kelechi baada yakujitafuta kwa kipindi kirefu alianza kukubalika mwaka Jana.…
Read More » -
14 February
Habari
Spika Ruwa Apinga Madai Ya Ufisadi Dhidi Yake.
Spika wa bunge la Kwale Sammy Ruwa amekanusha madai yanayoibuliwa na wawakilishi wadi katika bunge hilo kwamba anahusika na ufisadi…
Read More » -
14 February
Habari
Mwili Wa Mwatha Kufanyiwa Upasuaji Kubaini Ukweli Kuhusu Kifo Chake.
Mwili wa mwanaharakati Caroline Mwatha unatarajiwa kufanyiwa upasuaji hii leo kubainisha kilicho sababisha kifo chake. Naibu kamanda wa polisi kaunti…
Read More » -
14 February
Habari
Kauli Ya Owen Baya Kuhusu Mstakabali Wa Uongozi Pwani.
Mbunge wa Kilifi Kaskazini Owen Baya sasa anawataka viongozi wote wa kisiasa Pwani wenye ari ya kuongoza mwelekeo wa siasa…
Read More » -
14 February
Habari
Wakaazi Wa Kilifi Kukosa Maji Baada Ya Nguvu Za Umeme Kukatwa Baricho.
Wakaazi wa kaunti ya Kilifi watalazimika kukosa huduma za maji kutokana na kukatwa kwa nguvu za umeme huko baricho kwenye …
Read More »