BurudaniPilipili FmPilipili FM News

Msanii Amlaani Mtangazaji Wa Kipindi Cha Radio, Mombasa.

Msanii  Rojo Mo amlaani host wa kipindi cha mwake Mwake gates Mgenge, baada ya  kuchapisha post katika mtandao wa facebook na kumwita msanii huyo UNDERRATED

Kupitia ukurasa wake wa facebook Mgenge alichapisha post akimtaja msanii Rojo Mo kama msanii aliye na uwezo mkubwa ila event promoters na watangazaji hawampei nafasi za kutosha,  aidha msanii huyo   kachukulia kauli hiyo visivyo na kumrushia cheche za maneno Gates,

“This is wat Happens when u resist the stupid CARTEL my coast Artist…… Evil is Evil n Good is good My friend Eric Mgenge, u curse ur self n ur kids n kids generation….. Never mess with a person who talks to GOD.”

Baadhi ya wafuasi wa gates katika mtandao wa facebook   wamekosoa matamshi yake msanii huyo wakimtaka aombe msamaha

MUNGA ARNOLD DAVIS LUVAHA THIS IS TOO MUCH ILE HESHIMA NAKUPA NIZAIDI YA HII ROJO, KUHUSISHA HATA JAMII YAKE HAPA SIO SAWA MR MIMI PIA….YOU NEED TO APOLOGIZE TO HIS CHILDREN AND WIFE.”      MUNGA AROLD KASEMA.

Matamshi hayo yameonesha  dalili za kuwepo uhasama  mkubwa kati ya dj watangazaji wa radio pamoja na wasanii.

 

Show More

Related Articles