HabariPilipili FmPilipili FM News

Makarani 411 Wameajiriwa Kufanikisha Usajili Wa Huduma Namba Mombasa.

Makarani 411 wameajiriwa hapa Mombasa kusaidia kusajili wakazi wote wa Mombasa kupata huduma namba.

Hayo ni kulingana na kamishna wa kaunti ya mombasa Evans Achoki ambaye anasema makarani hao watasaidiana na machifu na manaibu wao, mabalozi wa nyumba kumi pamoja na maafisa wengine wa serikali kuhakikisha kila mwananchi anafikigwa.

Show More

Related Articles