HabariPilipili FmPilipili FM News

Madzayo Ahimiza Mawaziri Wafisadi Kujiuzulu.

Shinikizo zinazidi kutolewa kwa viongozi hususan mawaziri wanaohusishwa na ufisadi kujiuzulu.

Seneta wa Kilifi Stiwert Madzayo ni wa hivi punde kuwataka mawaziri wanaohusishwa na ufisadi kujiondoa afisini ili kutoa nafasi ya uchunguzi kufanywa dhidhi yao.

MADZAYO amezitaka taasisi zilizotwikwa jukumu la kupambana na ufisadi kutolegeza Kamba, huku pia akipinga madai yanayoibuliwa na baadhi ya viongozi kwamba vita dhidi ya ufisadi vinalenga jamii fulani.

Show More

Related Articles