BurudaniPilipili FmPilipili FM News

REFIGAH: GrandPa Iko Imara Kama Simba.

Meneja wa label ya Grandpa records Refigah amekanusha madai kutoka kwa kidis kwamba lebel yake ili ‘Kufa” pindi tu alipo ondoka  yeye ndiyo aliyekua ameishikilia.

Akikanusha madai hayo ,  Meneja huyo  amesema kua Grand Pa Iko imara na ifikiapo mwishoni wa mwezi ujao wataachia bonge la surprise.

Rafigah  amezidi kufunguka na kuhoji kua mkataba wa Kidis  na visita aliye kua producer  pamoja na Mr. Nice msanii kutoka nchi jirani ya Tanzania ulikatizwa na lebel hiyo baada ya sinto fahamu kuzuka kati yao.

“CONTRACT YA D.N.A, N A KENRAZY ILIIISHA NA WAKAONDOKA ROHO SAFI, LAKINI KIDIS,  VISITA, NA MR NICE  TULIKATIZA CONTRACT YAO NA UKIANGALIA WALE AMBAO TULIKATIZA NDIO WANAO PIGA KELELE ZAIDI. KITU KUBWA KIDIS ALIFANYA  NDANI YA GRANDPA NI KAMUA LEO ,THEN AFTER THAT HE DIED ON ARRIVAL.”

Kume kuwepo na madai ya kufirisika kwa Grapapa baada ya wasanii zaidi ya watatu kuondoka katika lebal hiyo, pamoja na lebel hiyo kuwa   kimya kwa mda wa takriban mwaka mmoja.

Show More

Related Articles