HabariPilipili FmPilipili FM News

Noordin Haji Kufika Mbele Ya Kamati Ya Bunge Ya Masuala Ya Sheria.

Mkurugenzi wa mashtaka ya umma Noordin Haji anatarajiwa kufika mbele ya kamati ya haki na masuala ya sheria katika bunge la seneti leo, kuelezea hatua wanazopiga katika vita dhidi ya ufisadi.

Haji ambae amekuwa dhabiti katika kuwashtaki washukiwa wa sakata ya NYS pia anatarajiwa kuifahamisha kamati hiyo jinsi kesi hiyo ya NYS inavyoendelea.

Pia anatazamiwa kueleza hatua wanazochukua kama afisi ya DPP kuwakamata washukiwa wengine wanaohusishwa na sakata za mabilioni ya fedha.

Also read:   Spika Ekwe Ethuro atoa wito kwa mabunge ya kaunti
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker