Barabara Ya Narok Mai Mahiu Yaporomoka Katika Eneo La Suswa.

Shughuli za uchukuzi zimekwama baada ya eneo la barabara ya Narok Mai Mahiu kupromoka katika eneo la Suswa.

Hii ni kufuatia mvua kubwa inayonyesha eneo hilo.

Polisi wamewataka madereva kutumia bara bara mbadala huku mamlaka kuu ya ujenzi wa barabara nchini KENHA ikianzisha mipango ya kukarabati barabara hiyo kwa udharura.

Also read:   Mvua ya Elnino yasababisha vifo vya watu 3 Narok

Peter Mundinia ni Mkurugenzi mkuu wa mamlaka ya KENHA.

Related Articles