HabariPilipili FmPilipili FM News

Ushindi Wa Mishi Mboko Waidhinishwa Na Mahakama.

Mahakama kuu ya mombasa imeidhinisha ushindi wa mbunge wa likoni Mishi Mboko, katika kesi iliyowasilishwa kupinga ushindi wake.

Kesi hiyo iliwasilishwa na aliyekuwa mbunge wa likoni Masooud Mwahima, ambaye alipoteza kiti hicho kwenye uchaguzi wa agosti nane.

Mwahima aliwasilisha kesi hiyo akisema uchaguzi huo haukuwa huru na wazi.

Mahakama imemuagiza Mwahima kulipa gharama ya kesi hiyo ya shilingi milioni 2.5.

Also read:   Wakenya 4 waliofungwa nchini Sudan kusini waachiliwa huru
Show More

Related Articles

Close

Adblock Detected

Please consider supporting us by disabling your ad blocker