Ujumbe Wakuhuzunisha Ambao Larry Ame muandikia Kaikai Baada Ya Kuondoka NTV

Ujumbe Wakuhuzunisha Ambao Larry Ame muandikia Kaikai Baada Ya Kuondoka NTV
Courtesty

 

Kupitia ukurasa wake wa Twitter Larry ameonekana kuhuzunishwa na kuondoka kwa Kaikai Katika shirika la Nation Media  akitaja kuwa kaikai ni mmoja wa mabosi  bora zaidi  aliowai fanya kazi naye.

Aidha duru zinaarifu huenda kaikai anaelekea katika shirika la Royal media kujaza pengo lililo wachwa wazi  na Faridah Karoney.

Also read:   Gavana Ruto arushiwa vitoa machozi na polisi, Bomet

Post source : pilipilifm

Related posts

MNL App
MNL App