Vituo Vya Burudani Kufungwa Nyali Marwa Asema

Vituo Vya Burudani Kufungwa  Nyali Marwa Asema
pilipili photography

Maafisa wa usalama wametakiwa kufunga sehemu nne za burudani maarufu klabu ambazo zinahudumu usiku eneo la Nyali hapa mombasa.

Mshirikishi wa serikali kanda ya Pwani Nelson Marwa anasema wanawake wanacheza uchi kwenye klabu hizo jambo ambalo halikubaliwi.

Amemtaka gavana joho kutathmini upya leseni za klabu hizo.

 

 

Also read:   Marwa Aagiza Vibao Vya Waganga Viondolewe Mjini Mombasa.

Post source : pilipili fm

Related posts

MNL App
MNL App