K. R. A Yazindua Mashine Za Ukaguzi Bandarini.

K. R. A Yazindua Mashine Za Ukaguzi Bandarini.
pilipili photography

Biashara katika bandari ya Mombasa itaimarika maradufu baada ya serikali ya Kenya ikishirikiana na ile ya uchina kuzindua mashine mpya ya kukagua makontena ya mizigo bandarini humo.

Akizindua rasmi mashine hizo kamishna mkuu wa halimashauri ya ukusanyaji na utosaji ushuru nchini John Njiraini amesema mashine hizo zitatatua mgongano ambao wakati mwengine hujiri baina ya halimashauri hio  na walipa ushuru huku akisema ukaguzi wa mizigo umerahisishwa.

Also read:   Ruto Asema Bandari Ya Mombasa Haitabinafsishwa

Jumla ya mashine tatu zimezinduliwa leo huku pia nyengine zikiwa zimetundikwa kwenye viwanja vya ndege koto nchini na nyengine kumi zikitarajiwa kuekwa mipakani kabla ya mwisho ya mwaka huu

 

Post source : pilipili fm news

Related posts

MNL App
MNL App