Neymar Jr Atamani Kujiunga Na Manchester United.

Neymar Jr Atamani Kujiunga Na Manchester United.
pilipili photography

Nyota wa timu ya taifa ya Brazil na kilabu ya Barcelona Neymar Jr amesema uwezekano wa yeye kujiunga na miamba ya soka nchini uingereza upo kwani kila mchezaji hutamani kuwa chini ya uangalizi wa mkufuzi Jose Mourinho.

Mbrazil huyo amekua akihusishwa na kujiunga na kilabu ya United huku majarida ya vyombo vya habari nchini uingereza awali mwezi wa pili yaliandika taarifa yam kali huyo kunyemelewa na kilabu ya Manchester United kwa pauni milioni 200.

Also read:   PSG Wasaka Saini Ya Neymar.

Na sasa Neymar amefungua milango ya kujiunga na kilabu hio ya uingereza akisema kikosi cha mourinho ni moja ya vikosio anavyovipenda na kila mchezaji hupenda kuongozwa na Mourinho huku akiongeza ligi kuu ya uingereza ni ligi nzuri sana na siku moja nitacheza ndani ya ligi ya uingereza.

Post source : pilipili fm news

Related posts

MNL App
MNL App