Jermain Defoe Alenga Kushiriki Kombe La Dunia

Jermain Defoe Alenga Kushiriki Kombe La Dunia
pilipili photography

Jermain Defoe analenga kucheza kombe la dunia la mwaka 2018 na sasa anaimani atafanikiwa kuitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Uingereza kwani ameonyesha mchezo shwari kwenye msimu huu akiwa na kilabu ya Sunderland.

Defoe mwenye umri wa miaka 34 mara ya mwisho kuuchezea timu yake ya taifa ilikua ni mwaka 2013 lakini wiki iliyopita alitajwa na mkufinzi Gareth Southgate kujiunga na kikoso cha Uingereza kujitayarisha kwa mitinange ya kirafiki dhidi ya ujerumani na Lithuania.

Also read:   Akenya kururungana icigo itiganite kurugia mwaka

Jermain Defoe has his heart set on the 2018 World Cup after his dream of an England recall was realised.

Sasa nguli huyo wa soka kwenye kilabu ya Sunderland analenga kumridhisha mkufunzi Southgate ikikumbukwa alikosa mitinange ya kombe la dunia la mwaka wa 2014 nchini Beazil.

Post source : pilipili fm news

Related posts

MNL App
MNL App