Serikali Ya Kwale Yahimizwa Kukarabato Taa Za Usalama.

Serikali Ya Kwale Yahimizwa Kukarabato Taa Za Usalama.
Photo: pilipili photography

Serikali ya kaunti ya kwale imetakiwa kuchukua hatua za haraka   kukarabati  taa za usalama katika miji  ya  Ukunda na  Diani, zilizozima kwa muda wa miezi 3 sasa na kusambaratisha biashara na usalama  katika maeneo hayo.

Wakazi wa maeneo hayo wanasema kuzima kwa taa hizo kumechangia ongezeko la  visa vya Uhalifu katika  Maeneo hayo,   ambayo jumla ya vijana 6000 wameathirika Na dawa za kulevya, wengi Wao wakihofiwa kujihusisha na Visa  Vya Wizi  na kuwalazimu wafanyibiashara kufunga  baishara zao  Mapema, Kwa Hofu Kushambuliwa nyakati za usiku.

Also read:   Nkaissery: Kambi ya Daadab kufungwa ifikiapo Novemba 30

 

 

Post source : pilipili fm news

Related stories